Wakulima wapata kifaa cha Kidijitali cha kuwawezesha kupata Pembejeo za kilimo na Mafunzo...
Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile u...