November 2025

Na Damas Makangale  - Dodoma 

Taasisi ya vyombo vya habari kusini mwa Afrika - Tanzania (Misa - Tan), imetoa mafunzo ya uandishi wa habari za amani (Peace Journalism)  kwa wanahabari zaidi ya 100 kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani ili kuboresha uelewa wao kuhusu kuripoti nyakati za migogoro.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Denis Lazaro Londo, akizungumza wakati akifungua mafunzo kuhusu Uandishi wa Habari wa Amani (Peace Journalism) yaliyoandaliwa na MISA Tanzania

Mafunzo hayo ya siku moja yamekuja baada ya vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, na kuonekana ombwe ya uandishi wa habari za amani ambayo inalenga kupunguza mikwarazo ya makundi ndani ya jamii na kuleta utengamano.

Waandishi hao walikutana jijini Dodoma hivi karibuni ili kuwajengea uwezo waandishi wa habari namna ya kuripoti taarifa za vurugu , machafuko na migogoro kwa kuzingatia maadili , desturi na miiko ya uandishi wa habari.

Mafunzo hayo pia yalilenga kuwajengea uwezo waandishi kuelewa dhana ya Uandishi wa Habari za amani, aina ya uandishi unaojikita katika kuimarisha utulivu, kuzuia uchochezi, kupunguza upotoshaji, na kuandika habari zinazojikita kwenye utatuzi badala ya uchochezi.

Akifungua mafunzo hayo, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani. Denis Lazaro Londo, alisema waandishi wana jukumu la kulinda umoja wa kitaifa kupitia matumizi ya lugha inayojenga, utoaji wa taarifa sahihi, na kuepuka taarifa zinazoweza kuchochea migogoro, haswa nyakati za migogoro na machafuko.

Aliongeza waandishi wa habari ni daraja muhimu linalounganisha Serikali na wananchi, hivyo lazima watekeleze wajibu wao kwa uadilifu bila kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ya kuichafua tasnia hiyo.

"Tuna imani kwamba mafunzo haya yataleta tija kupitia kwenu wanahabari mliohudhuria, serikali inawahakikishia kuwa mtaendelea kuwa salama na vifaa vyenu wakati wote wa utekelezaji wa majukumu yenu." Alifafanua Londo 

Amewataka wanahabari kutambua kwamba uandishi wa habari ni muhimu lakini uandishi wa habari za amani ni muhimu zaidi, zinazojikita kutunza maslahi  na tunu ya Taifa na wananchi wake.

Aliongeza kwamba wizara ya mambo ya ndani iko tayari kushirikiana na wanahabari katika kulinda misingi ya utawala bora na demokrasia ili kupanua wigo wa ushirikiano kwa maslahi ya Taifa.

Alisema kwamba serikali inaendelea kuhakikisha wananchi wanapata haki ya kupata taarifa na kwamba falsafa ya 4R inalenga kulinda wanahabari na kutetea uhuru wa kujieleza akitolea mfano wa vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa.

"Nafarijika kuwa Misa Tanzania mmekuwa mdau mwaminifu kwa serikali katika nyakati nzuri na hata ngumu. Huu ndio uzalendo tunaoutaka  kutanguliza maslahi ya Taifa mbele bila kuathiri uhuru wa kitaaluma." Aliongeza 

"Wizara ya mambo ya ndani inaendelea kushirikiana nanyi katika mambo yote yanayohusu usalama wa wanahabari, ulinzi wa amani na mafunzo kwa wanahabari katika kuhakikisha kwamba, tunalinda uhuru wa habari, wanahabari wanalindwa, tunatetea uhuru wa kujieleza lakini pia haki ya wananchi wetu kupata taarifa."

"Tukio la Oktoba 29,2025 ni funzo kwetu sote, sisi serikali, nyinyi wanahabari na jamii nzima kwa ujumla. Ni kweli wanahabari mnalo jukumu la kulinda amani haki utulivu na umoja wa kitaifa na tunawashukiru sana kwa kuendelea kuhamasisha amani."

Akizungumza katika mafunzo hayo, Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Edwin Soko, alsiema vyombo vya habari nchini Tanzania havitakubali kuchonganishwa na wananchi bali vitaendelea kusimamia maadili, uzalendo na weledi katika kuripoti.

Pamoja na mambo mengine alisema kwamba waandishi wa habari ni daraja muhimu linalounganisha Serikali na wananchi, hivyo lazima watekeleze wajibu wao kwa uadilifu bila kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ya kuichafua tasnia hiyo.

“Vyombo vya habari ni nguzo kubwa ya usalama wa Taifa,” alisema Soko. “Hatutaruhusu mtu yeyote kutikisa au kuathiri misingi yetu ya uzalendo. Waandishi wa Tanzania ni wazalendo, si wasaliti”,aliongeza Soko.

Akigusia tukio la Oktoba 29, Soko alifafanua kwamba sekta ya habari iliguswa moja kwa moja, kwani baadhi ya waandishi waliumia, walipoteza wenzao na wengine kupoteza vifaa vya kazi.

Ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani kuendelea kulinda amani ya nchi pamoja na kuhakikisha waandishi wanakuwa salama wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku.

Aliongeza  kuwa MISA Tanzania itaendelea kutoa mafunzo ya Uandishi wa Habari wa Amani ili kujenga uwezo wa wanahabari kuandika habari zinazohamasisha amani, kushusha joto la mgogoro, kupunguza taarifa za uchochezi na kuchochea  umoja na mshikamano wa kitaifa

Mhadhiri kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam Alex Sichona aliwasihi wanahabari kufanya uandishi wa habari unaochochea amani, kupunguza mifarakano miongoni mwa jamii na inayopunguza maumivu kwenye jamii baada ya kutokea migogoro.

“popote panapotokea mgogoro basi ni lazima mawasiliano ndio chanzo kikuu cha huo mgogoro husika lazima jamii ijue mawasiliano ni nyenzo muhimu katika kufikia maridhiano na maelewani na utengamano wa jamii husika” alisisitiza Dk Sichona.

Alisema ni vyema wanahabari wakazingatia maadili ya uandishi hususani kwenye vyombo vya habari vya mtandaoni ambavyo wengi wao wamekuwa wakiwahi kutoa taarifa (Breaking News) bila kujiridhisha ama kwa kutumia vichwa vya habari vinavyozua taharuki ili kuvutia wasomaji na wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii.

"Uandishi wa habari wa mtandaoni na mitandao ya kijamii isitumike kukuza migogoro kwa ingawa changamoto ni kubwa katika kushughulika na uandishi wa kiraia (citizen journalism) na hii ni kutokana na ukauji wa teknolojia na mawasiliano ambayo kila mtu anaweza kufanya au kusambaza taarifa kupitia simu yake ya kiganjani,” aliongeza 

Alifafanua kwamba uandishi wa habari kiraia au (Citizen Journalism) unakuwa kwa kasi na ndio mara nyingi huweka na kupata taarifa kwa haraka (Breaking News) bila kujiridhisha kutoka vyanzo vya uhakika vya utoaji wa taarifa na kuzingatia miiko na kanuni za uandishi wa habari.

Kwa upande Mhadhiri , Dkt  Dotto Bulendu alisema kwamba ni muhimu kujua tabia za vijana maana ndio Kundi kubwa kwenye jamii na linakabiliana na wimbi kubwa la mwamko wa kihalaiki kutokana na msukumo wa mitandao ya kijamii duniani.

Aliongeza kwamba kuna tatizo la upotoshaji wa taarifa mkubwa (information disorder) ambayo inaanza kwenye mitandao ya kijamii hadi kwenye vyombo vya habari rasmi vya ndani na nje ya nchii.

“kwa mfano vyombo vya habari vya nje vinaripoti kwamba Rais wa Tanzania , Dkt Samia Suluhu Hassan aliapishwa kwenye kambi ya Jeshi wakati ilikuwa ni kwenye viwanja vya mashujaa hii ni upotoshaji mkubwa na mpaka sasa hakuna aliyerekibisha hiyo,” alisema 

Alifafanua ni muhimu kwa kila mwandishi wa habari anatakiwa kuzingatia madhara na faida ya taarifa kabla ya kuitoa, kuangalia manufaa yake kwa jamii anayoitumika.

DODOMA: Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limewataka wadau wa elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi nchini (TVET) kutumia viwango vipya vya ubora pamoja na miongozo iliyoboreshwa ili kuzalisha wahitimu wenye ujuzi, umahiri na uwezo wa kuchangia kikamilifu katika maendeleo ya uchumi na jamii.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Dkt.Mwajuma Lingwanda.

Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa NACTVET, Bernadetta Ndunguru, ameyasema hayo wakati wa warsha ya utoaji taarifa kuhusu viwango vya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (TVET) pamoja na miongozo mbalimbali kwa wadau wa tasnia hiyo, iliyofanyika leo Novemba 18, 2025 mkoani Dodoma.

Kwa upande wake, Katibu Mtendaji wa NACTVET, Dk. Mwajuma Lingwanda, amesema Baraza litaendelea kuandaa, kupitia na kuboresha miongozo kadri inavyohitajika ili kuhakikisha kunakuwepo mazingira bora ya kujenga rasilimali watu yenye ujuzi stahiki kulingana na malengo ya serikali na matarajio ya soko la ajira.

Aidha, amesema wamedhamiria kuendelea kufanya warsha kama hizo mara kwa mara kadiri itakavyowezekana, kwa lengo la kukutana, kufahamiana, kujadili na kushirikiana kuhusu malengo ya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi.

Warsha hiyo imeshirikisha wadau kutoka Vyuo vya Ufundi (TET), Vyuo vya Ufundi Stadi, Vyuo vya Maendeleo ya Jamii, Shule za Sekondari Mkondo Amal, pamoja na wawakilishi na viongozi mbalimbali kutoka wizara mbalimbali ikiwemo Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.







By Correspondent

Sudanese Ambassador to Tanzania, Dr Mohamed Abdalla Abdelhameed, has accused the international community for dilly-dallying in taking legal action against the Rapid Support Militia (RSF) despite their decisive attacks on diplomatic missions, the UN and aid organisations.

Ambassador of Sudan in Tanzania, Dr Mohamed Abdalla Abdelhameed

Speaking in an exclusive interview with this correspondent in his office in Dar es Salaam earlier this week, Dr Abdelhameed said the ongoing war in Sudan was a war waged by the RSF, a group that rebelled against the state with local, regional, political and logistical support.

“It began with an attempt to seize power by force of arms and the rebellion quickly evolved into a full-scale war against the Sudanese state and people,” he emphasised.

He went on to say that the RSF were engaged in a proxy war, acting on behalf of foreign powers pursuing their own interests against the government and people of Sudan.

Explained that the RSF deserved to be designated as a terrorist organisation for its grave crimes, supported by regional financiers and foreign mercenaries that helped them to destroy the Sudanese soil.

“Here we express regret that Tanzania was among the earliest victims, when the RSF looted a Tanzanian Embassy vehicle near the International University of Africa on the first day of the war,” he lamented.

He underscored that the militia continued defying international law, the Jeddah Declaration, and UN Security Council resolution, including the arms embargo on Darfur and a resolution on Al-Fashir.

“Since mid-2024, the Rapid Support Forces (RSF) imposed a suffocating siege on the city of El Fasher, the capital of North Darfur State, blocking the entry of food, medicine, and humanitarian aid to hundreds of thousands of trapped civilians,” 

“As battles intensified and roads were cut off, living conditions deteriorated sharply—pushing the population to the brink of famine—while international organizations were unable to reach the city safely,” he said.

After eighteen months of continuous siege, RSF militia stormed El Fasher in late October 2025, opening a new and tragic chapter in the humanitarian disaster that has long plagued the Darfur region.

This development was not merely a military victory in a local battle, but a catastrophic turning point in the balance of the Sudanese conflict—one that unleashed scenes of horror and atrocities reminiscent of the darkest episodes of modern humanitarian crises, perpetrated by the RSF militia. He lamented 

As RSF militia entered El Fasher, reports quickly emerged of mass executions and widespread looting targeting civilians along ethnic and tribal lines—some of which were recorded by the militia’s own cameras.

Ambassador Dr Abdelhameed went on to say  eyewitnesses described horrific scenes: bodies lying in the streets, hospitals reduced to rubble, and entire neighborhoods burned to the ground.

Humanitarian agencies that had been operating in the city confirmed that more than 2,000 civilians were killed within the first 48 hours of the RSF’s takeover.

He explained further that thousands more fled on foot toward remote areas seeking safety, while the United Nations and the international community have so far been unable to verify the full extent of the catastrophe due to continuing insecurity and systematic violence by RSF fighters.

Credible human-rights reports indicate that the events in El Fasher were not random acts of revenge, but a planned, ethnically-motivated campaign aimed at specific communities based on their identity and tribal affiliation.

“Weeks before the city’s fall, UN High Commissioner for Human Rights Volker Türk warned of “the imminent risk of mass atrocities” in El Fasher—warnings that went largely unheeded by the international community,” he mentioned.

He noted that according to multiple international media and intelligence reports—including Le Monde (November 2025) and The Washington Post (September 2025)—the United Arab Emirates provided logistical and military support to the RSF through supply lines running across neighbouring countries. These investigations also revealed that Emirati territory was used as a hub for the purchase and export of Sudanese gold, believed to be financing RSF operations.

Private companies based in the UAE allegedly facilitated the transport of military equipment via cargo aircraft to areas near Darfur and Chad. These claims are supported by satellite imagery, field testimonies, and documentation from UN expert panels.

What happened in El Fasher cannot be dismissed as an isolated episode in Sudan’s civil war; it constitutes a crime against humanity under international law.

Observers and rights advocates are calling for the establishment of an independent international investigation under UN supervision to identify and prosecute those responsible—regardless of rank or affiliation.

The continuing silence of the international community in the face of recurring massacres in Sudan is no longer acceptable. Failing to act is tantamount to complicity with the perpetrators.)

Dr Abdelhameed assured that the government of Sudan remained open to any initiative aimed at ending the war, “provided that no state or organisation supports and participates in the war through supplying weapons, facilitating their transfer, offering political and any other form of support to the rebels.”

He noted that the SAF is one of the oldest state institutions in Sudan, operates professionally, free of partisan allegiance, and is committed to democratic transition. He added that it was ready to hand over power to any consensus-based elected civilian government.

Among other things, the Ambassador said the government struggled to find solutions as seen in the Jeddah Declaration in May 2023, which facilitated border openings and airports to alleviate the sufferings of citizens and facilitated the delivery of humanitarian aid, reaffirming the government’s commitment to international law to protect civilians.

“Under the leadership of LTG Abdel Fattah Al- Burhan, the SAF have sought from the very beginning to avert the outbreak of war, from the early weeks of the conflict, they have worked to bring it to an end through Jeddah Platform and continue to maintain their position in favour of ending hostilities,” he said.

Despite the ongoing war, Tanzania and Sudan also have good cooperation and coordination in security and counter-terrorism and they promise opportunities for cooperation, taking advantage of Tanzania’s potential for teaching Kiswahili language.

Ends.

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.