Mamia wajipanga Barabarani uliokupita mwili wa Nelson Mandela Makangale SATELLITE 4:59:00 AM A+ A- Print Email Mamia ya wakazi wa Afrika kusini wamejipanga barabarani ulikokuwa ukipita mwili wa Baba wa taifa hilo Nelson Mandela kupelekwa uwanjania kwa ajili ya wageni na wananchi kutoa heshima zao za mwisho. Labels: International News
Post a Comment