February 2014

Questionmark
Questionmark is a young and ambitious organisation that promotes an honest, healthy and informed society, mapping the sustainability of a huge range of consumer products. Our app and our website offer insight into the stories behind products, with each product receiving a rating on a scale of 1-10. The rating is based on objective information on the following themes: public health, environment, human rights and animal welfare. We make it easier for consumers to make informed decisions. 

Senior Researcher, LCA and Food Chains
The Senior Researcher will be part of the five-person research team. The research team is responsible for the collection of all (predominantly quantitative) data on the sustainability performance of various products in various food and non-food categories. The team of researchers has a variety of areas of expertise including environment, human rights and product information. Questionmark is looking for a senior researcher with expertise in Life Cycle Analysis, SimaPro and environmental themes in general (such as climate, biodiversity and water).

The key task of the research team is to measure the sustainability performances of products in the areas of health, environment, human rights and animal welfare. To achieve this, the research team develops research methodologies (e.g. LCA, literature research or expert questionnaires).  The research is then performed independently or outsourced to reputable research agencies. Stakeholders from government, social organisations and businesses are actively consulted in the development of our research methodologies.
The research data collected is modelled by the research team and processed into rating models. The research team is also jointly responsible for the development of a database of all the information collected. The researchers also act as content experts during the moderation of public discussions, facilitated by Questionmark, on the sustainability of products and production chains. 

The role
The Senior Researcher, LCA and Food Chains will have the following key responsibilities:
·    Setting up and leading research projects, focusing the research into the sustainability performance of products (setting the scope in terms of the product group and production chains, defining the indicators and methodology for the data collection);
·    Performing independent environmental research using different research methodologies (including Life Cycle Analysis);
·    Processing the collected environmental data in SimaPro;
·    Processing/modelling collected sustainability data in statistical rating models;
·    Determining the required development of the structure and functionalities of the database.

Profile
·   Academic education (economics, environmental technology/economics, industrial engineering and management, industrial design, mathematics, physics, chemistry);   
·   Approximately 10 years of experience as a researcher/product developer in the field of sustainability;
·   Knowledge of and experience with Life Cycle Analysis. Being able to work independently with SimaPro is a must;
·   Technical knowledge of quantifying and collecting sustainability data with regard to products and production chains;
·   Experience with developing (not programming) databases;
·   Experience with modelling;
·   Hands-on and self-starting personality;
·   Demonstrable knowledge of and experience with project management.

About Questionmark
Questionmark is a start-up with big ambitions. Our expertise is divided over sustainability research, marketing, communications and digital product development. Currently, the research team is made up of five people and the team is expected to continue to grow.
What you can expect when joining Questionmark:
·   The opportunity to do something good for the world you live in;
·   Huge ambitions and challenges, but also the freedom to participate in developing strategy and approach;
·    A small, varied and growing team with little hierarchy and short lines of communication;
·   An organisation in its pioneering phase, where the structure and processes are still being developed;
·   A fantastic location in Amsterdam-North with a panoramic view on the IJ-river.

Do you recognise yourself in the profile and would you feel at home at an ambitious start-up organisation?  Apply via the website before March 31 2014.

Joachim Mushi: Waliofuata posho Bungeni warudi nyumbani!

KIMSINGI inakera sana unapomuona mtu mzima na mwenye busara anafanya vitendo vya hovyo. Hiki ndicho kinachofanyika sasa kwa baadhi ya wajumbe wa bunge maalumu la Katiba Mjini Dodoma.

Wanalalamika posho ya shilingi 300,000 kwa siku wanayopewa haiwatoshi hivyo wanataka walipwe zaidi ya kiasi hicho.

Narudia tena haya ni madai ya hovyo wadao dai wabunge hawa ambao baadhi ya watu na makundi yalianza kuwabatiza jina la Wazalendo. Baadhi ya makundi na taasisi ziliwabatizwa wazalendo kwa mtanzamo wa
kuwa, watumie uzalendo wao na busara kuhakikisha taifa linapata Katiba nzuri inayomfaa kila Mtanzania.

Ikiwa hata kabla ya kuanza kazi maalumu ambayo wajumbe hawa wameteuliwa kuyawakilisha makundi mbalimbali ya jamii bungeni, tayari wameanza kulilia posho kwa manufaa ya matumbo yao na si taifa. Wanalalamika posho ya shilingi 300,000 kwa siku haiwatoshi hivyo wanataka waongezewe na kupata zaidi ya kiasi hicho kwa simu. Huu ni upuuzi.

Binafsi naamini wanaolilia posho kuongezwa si wajumbe wa dhati wa Bunge la Katiba. Bali ni mamluki ambao wameingia katika nafasi hizo bahati mbaya hivyo nia yao ni kuvuma fedha zaidi kuliko kazi walioenda kuifanya. Nasema ni mamluki kwa kuwa kama wameweka maslahi ya matumbo yao mbele zaidi ya kazi walioenda kuifanya Dododoma, kundi hili linaweza kununulika.

Nasema kununulika maana hadi sasa kuna makundi ambayo yamegawanyika katika wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba na misimamo yao. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) lazima kina msimamo wake katika kuchambua rasimu ya Katiba Mpya. Vile vile Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina mtazamo na msimamo wake katika uchambuzi wa rasimu ya Katiba Mpya.

Yapo mambo ambayo CCM kama chama wanaamini yakipitishwa katika rasimu itakayojadiliwa na bunge hilo maalumu kwao mambo yataenda vizuri zaidi kiutawala. Hali hii ni vivyo hivyo kwa vyama kama CUF, NCCR-Mageuzi na vyama vingine vinavyotambulika nchini.

Katika hali ya kawaida vyama hivi havishindwi kutumia ushawishi wa namna yoyote ili kuhakikisha misimamo yao na maoni yao yanaungwa mkono ili waweze kufanikisha hoja zao. Wanaweza kutumia ushawishi wowote, ama kwa ukarimu na hata kwa kujipendekeza kwa wajumbe ambao tayari wameonesha njaa hasa wanaodai posho zaidi.

Sasa cha kujiuliza wajumbe hawa wanashindwa kununuliwa na vyama? Jibu ni rahisi sana, wajumbe hawa wanaweza kulalia upande wowote wenye maslahi kwao na si taifa kama tulivyofikiri awali. Wananunulika kwa kuwa tayari wameonesha kuwa lengo lao hapo Dodoma si kujadili Rasimu ya Katiba Mpya bali ni kuganga njaa.

Kiasi cha shilingi 300,000 ambacho wabunge hawa wanakikataa ni mshahara wa mfanyakazi kwa mwezi. Na mtu huyu anaishi na familia yake na majukumu kemkem, lakini anavumilia. Naamini hata baadhi ya wajumbe wanaopigania wao kulipwa zaidi ya shilingi 300,000 wanajua kuwa wapo baadhi ya wafanyakazi Serikalini wanalipwa shilingi 300,000 kwa mwezi na kwa hali ngumu ya maisha wanaendelea kuganga njaa.

Leo hii badala ya kutengeneza mazingira mazuri ili kila mmoja anufaike na keki ya Taifa hili wao wameanza kuchumia matumbo yao. Ndio maana nalazimika kusema kwamba wajumbe hawa ni 'mamluki' na wameingia bahati mbaya kuwawakilisha Watanzania katika mjadala wa rasimu ya Katiba.

Hivi ni kweli kwamba wajumbe hawa wanamatumizi ya zaidi ya shilingi laki tatu kwa siku! Na ni kweli kwamba wanalipwa posho ya zaidi ya lakini tatu wanaosafiri ndani ya nchi kikazi (kwa wale wafanyakazi)! Kwa muda wa siku 70 za kukaa Dodoma kila mmoja wa wajumbe atalipwa shilingi milioni 21 (21,000,000) kama posho pekee. Je, ni kweli kwamba kiasi hiki hakiwatosi kiuhalisia!

Kimsingi naungana na maoni ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na wachambuzi wa masuala ya siasa waliozungumza wakisema kama kuna mjumbe anaona hawezi kufanya kazi ya kuwakilisha kundi lake kwa shilingi 300,000 kwa siku afunge virago na kurejea nyumbani kwake ili wazalendo wengine wajaze nafasi yake na kazi iendelee. Katibu Mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti Msaidizi wa Chama cha Wananchi, CUF, Julias Mtatiro kwa nyakati tofauti wamenukuliwa wakiwashauri wajumbe wasiotaka kufanya kazi hiyo kwa shilingi 300,000 kwa siku waondoke na kuwaachia wengine. Wapo pia wachambuzi wa masuala ya siasa wamezikika wakiunga mkono hoja ya viongozi hawa.

Namaliza kwa kushauri kwamba mjumbe yeyote ambaye anaoona kiasi cha shilingi 300,000 kwa siku hakimtoshi ajitoe na kuwaachia wenzake. Kwani wanachokidai hakina tofauti na ufisadi tunaoupigia kelele kila uchao. Najua tayari Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba, Amir Pandu Kificho ameunda jopo linaloenda kuzungumza na Serikali juu ya kilio cha posho na huenda wakafanikiwa. Kilio cha Watanzania wanaopinga ufisadi huo utawarudia.

Mwandishi; Joachim Mushi wa www.thehabari.com
0756469470, mushi@thehabari.com

Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.

Jumla ya watahiniwa 427,679 waliandikishwa kufanya mtihani ila waliofanikiwa kufanya mtihani ni watahiniwa 404,083.

Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.

Wasichana waliofaulu ni laki 106,792 na wavulana waliofaulu ni laki 128,435. 

Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.

Wavulana waliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549.

Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113. 

Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.

Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950. 

Shule 10 zilizoongoza ni St.Francis Girls, Marian Boys, Feza Girls, Precious Blood, Canossa, Marian Girls, Abbey

Shule kumi zilizoongoza: Anwarite Girls, Rosmini, na DonBosco Seminary

Zilizofanya vibaya: Singisa, Hurui, Barabarani, Nandanga, Vihokoli, Chongoleani, Likawage, Gwandi, Rungwa, Uchindile

The Department of Computer Science and Engineering at Chalmers 
University of Technology invites applications for 2 PhD positions in 
Software/Web Security.

The PhD students will join a world-leading team of researchers on 
software security. Software is often the root cause of vulnerabilities 
in modern computing systems such as the web. By focusing on securing the 
software, we target principled security mechanisms that provide robust 
protection against large classes of attacks. The focus of the advertised 
positions is on the following directions of work:

- To design rich security policies for confidentiality, integrity and 
availability, as demanded by practical applications (such as web and 
mobile applications).

- To develop practical enforcement mechanisms for these policies in 
expressive programming languages (such as web and mobile languages). 
These enforcement mechanisms may combine static (for example, static 
program analysis-based) and dynamic (for example, run-time execution 
monitoring-based) techniques.

- To support the above with case studies in web-application security. 
In pursuing these goals, there are possibilities for collaboration with 
our high-profile academic and industrial partners. We run a number of 
ambitious projects with top international partners in academia and 
industry, including the European project WebSand on web application 
security: https://www.websand.eu/

These positions will be supervised by Prof. Andrei Sabelfeld 
http://www.cse.chalmers.se/~andrei/ - recipient of a number of recent 
awards, including SSF Advancement of Research Leaders award (2008), 
Chalmers Research Supervisor of the Year (2010), and ERC 
Starter/Consolidator (2012). Promotional video about the team's research 
on securing web applications: http://vimeo.com/82206652
 
Application deadline: March 31, 2014 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

The Embassy of the Republic of Korea in Tanzania has the honor to
inform your office and the University of Dar es Salaam Community that, the
National Institute for International Education (NIIED) under the Ministry
of Education of the Republic of Korea has allocated  scholarships
for three  Citizens of Tanzania who wishes to participate in the Graduate
degree- Korean Government Scholarship program in Korea for the academic
year 2014~ 2017. The Embassy will recommend *four *applicants to the NIIED
which will make a final choice of *three*.


Also, the Embassy requests your esteemed office to publish the said
information on the University's website for easy access of application
documents to the scholars.

Applicants should submit all required documents/forms to the Embassy, 19th
Floor, Golden Jubilee Tower, Ohio Street; no later than Wednesday, 12th
March 2013 and interview will be held at the Embassy in due course with a
limited number of applicants who have met the application deadline and
passed through the documentation review.
 
 
*George James Olimo*
*Administrative Officer*
*EMBASSY OF THE REPUBLIC OF KOREA*
*P. O Box 1154*
*Dar es Salaam*
*Tel: +255 22 2116086 - 8*
*Cell: +255 715 005 072*
*Web: http://tza.mofa.go.kr <http://tza.mofa.go.kr>* 

Mshindi wa promosheni ya WEKA UPEWE  ya NBC Limited Bw. Abib Gervas Ndendya (kushoto) akipokea funguo ya bodaboda kutoka kwa Meneja wa tawi la NBC Njombe bi Dorah Godfrey Lewis (kulia) baada ya kuibuka mshindi katika promosheni hiyo hivi karibuni na baadhi ya wafanyakazi wa tawi hilo wakishuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Njombe. Droo kubwa ya promosheni hiyo itafanyika wiki ijayo.

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kagera Mheshimiwa Elizabeth Batenga akiwa na wafanyakazi wa NBC tawi la Bukoba Bw. Emmanuel Minja (wa pili kulia) na Bw. Jackson Kajuna (kulia) alipokabidhiwa zawadi yake ya bodaboda baada ya kuibuka mshindi katika promosheni ya WEKA UPEWE ambayo droo yake kubwa inatarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na waandishi wa habari juu ya sherehe ya siku ya sheria Zanzibar ambayo itaadhimishwa tarehe 10 Februari 2014.  Mkutano huo ulifanyika  Ofisini kwake Vuga, Mjini Zanzibar
Mwandishi wa habari wa Idara ya Habari Maelezo Ramadhani Ali akimuuliza swali Jaji Mkuu wa Zanzibar (hayupo pichani)  wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa ufafunuzi wa jambo wakati wa mazungumzo yake na waandishi wa habari yaliyofanyika ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Baadhi ya watendaji wa Mahakama ya Vuga mjini Zanzibar na waandishi wa habari wakimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake Vuga, Mjini Zanzibar leo.


Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar

Ripoti ya Kamati ya Mifugo,Utalii, Uwezeshaji na Habari imeitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuipitia upya mikataba ya Ujenzi wa Miundombinu na Uendeshaji wa mitambo ya Digital kati ya Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo na Kampuni ya AGAPE. 

Akiwasilisha Muhtasari wa Ripoti ya Kamati hiyo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mlinde Mbarouk Juma amesema kumekuwa na malalamiko mengi na shutuma mbali mbali kutoka kwa makundi tofauti ya jamii  kuhusiana na mradi huo  hivyo Kamati haikuridhishwa na utendaji wa Kampuni hiyo.

 Amesema kuwa Wawekezaji wa AGAPE wameshindwa kufanya kazi na kuitia hasara serikali kwa kutumia wataalamu na rasilimali za serikali na hatimae kushindwa kukidhi mahitaji wa wananchi.

Aidha Kamati imesikitishwa sana na mikataba ya usimamizi na uendeshaji  kati ya Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo na wawekeza wa AGAPE  kwamba haufahamiki vizuri katika utendaji wake.

“Kamati imegundua kwamba Shirika la Utangazaji Zanzibar halikushirikishwa kikamilifu katika maamuzi wala mapato yanaypatikana katika mradi huo wa Digital”, alifahamisha Mwenyekiti huyo.

Kamati hiyo pia imesikitishwa na matumizi mabaya ya Jengo la zamani la ZBC ambalo limebadilishwa na kufanywa kuwa nyumba ya starehe kinyume na matumizi yake ambalo hukodishwa na kufanyiwa shughuli mbali mbali za kijamii zikwemo harusi na siku ya kuzaliwa (birth day)na kupoteza haiba yake. 

Hata hivyo Kamati hiyo imeshitushwa na taarifa za uvamizi uanoendelea katika shamba la Mifugo Pangeni katika Mkoa wa Kaskazini Unguja na kusema kuwa vitendo hivyo vimeshamiri katika maeneo mbali mbali ambavyo huleta hasara kwa serikali.
Akichangia Ripoti ya Kamati hito Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Ali (Jazira) ameomba serikali kuwapatia maposho yao kwa wakati waandishi wa Habari wanaohudhuria katika kikao cha Baraza la Wawakilishi .

Mwakilishi huyo  amefahamisha kuwa waandishi wa habari wamekuwa  hawapatiwi posho zao kwa wakati kitendo  ambacho kinawavuja moyo na kufanya hivyo ni kutowafanyia haki na  mshahara wao pia  mdogo sana ukilinganisha na kazi wanazozifanya

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.