Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWizara ya Mifugo na Uvuvi, Ubalozi wa Uholanzi Tanzania na wadau wa ufugaji wa kuku kwa pamoja wamezindua mradi wa kutathmini mtaala wa mafunzo ya ufugaji wa kuku...
MGOMBEA
uubunge wa Jimbo la Bunda mjini,Esther Bulaya,amezindua kampeni zake
kuelekea uchaguzi wa mwezi oktoba katika mkutano uliofanyika kwenye
uwanja wa stendi ya zamani mjini Bunda na kuhudhuriwa na maelfu ya
wananchi ambapo amesema moja ya vipaumbele vyake ni kuhakikisha kila
mwanafunzi anayemaliza elimu ya msingi na mzazi au mlezi hana gharama za
kumsomesha elimu ya sekondari atahakikisha anashirikiana na marafiki
zake wa ndani na nje ya nchi ili kila mmoja aweze kupata elimu
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.