Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,

Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.

Shule 10 zilizofanya vizuri: Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba

KWA MATOKEO: BOFYA HAPA
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.