Watu zaidi ya mia moja na ishirini na sita (126) wamefariki wakiwamo watoto 84 mara baada ya wapiganaji wa Taliban kuingia ndani ya shule na kuanza kushambulia kwa risasi na mmoja wa magaidi kujilipua na kufa ndani ya darasa linalosadikiwa kuwa na jumla ya watoto sitini (60).
Mwalimu wa wanafunzi pia alichomwa moto mbele ya kadamnasi ya watu huku wanafunzi wake wakilazimishwa kuangalia unyama huo.
Waziri mkuu wa Uingereza amelaani vikali mauaji hayo na kuelekezea kusikitishwa kwake sana.
Pia inakisiwa watoto mia na sitini 160 wenye umri wa miaka 13 na 14 bado wanashikiliwa kama mateka na wavamiaji wanne.
![]() |
Mmoja wa majeruhi wa uvamizi huo |
![]() |
mmoja wawanafunzi waliojeruhiwa akiwahishwa hospitalini |

![]() |
Vikosi vya usalama vya Pakistan wakiwamstari wambele katika barabara inayoelekea shule ya Army Public |



Post a Comment