Ulikuwa ni usiku ulioshuhudia mastaa kibao duniani katika njanya za mavazi, filamu na muziki.
Halikuwa jambo la kushangaza kuwaona watu kama kina Rihanna, Harry Styles and Kate Moss wakiwa na usiku murua walipohudhuria hafla ya British Fashion Awards mjinkatika ukumbi wa London Coliseum.
Wote wakiweza kuonyesha yeye ni nani katika suala hili la mavazi na kusheheresha vilivyo usiku huo wa kusherehereka mafaniniko yaliofanywa katika fani ya mavazi nchini Uingereza katika onyesho hilo la kukata na shoka na lililoshuhudia Victoria Beckham, Cara Delevinge na Emma Watson wakitembea kwa madaha jukwaani.
 |
Rihanna akubaki nyuma |
 |
Cara Delevingne akiwa na Rafiki yake Jourdan Dunn baada ya sherehe (n after party)
|
 |
Cara akiwa nah Kendall Jenner t
|
 |
Juu na Chini ni gwiji wa mavazi Naomi Campbell akiwa na Kate Moss |
 |
Mmmoja wa mastaa waliuteka usiku huo walikuwa ni Rihanna na Klein |
 |
Emma Watson akiwa na Harry Stlyes
|
 |
David Beckham akiwa na Rita Ora |
 |
Karlie Kloss, Joan Smalls, Poppy Delevingne na Cara
|
 |
Lewis Hamilton na Nicole Scherzinger |
 |
Nicole Scherzinger |
 |
Picha ya pamoja, kutoka Kushoto ni Joan Smalls, Kendall Jenner, Sigail Currie, Cara Delevingne na Jourdan Dunn made for a glamorous group shot
|
Post a Comment