Polisi katika hali ya kushangaza wanamtafuta kitoto kichanga baada ya kukiri kuupata mwili wa mama mzazi katika mapango ya gorge jana usiku.
Charlotte Bevan
aliyekuwa na umri wa miaka 30 inasidikika kutoka katika hopsitali ya Bristol Maternity akiwa amevaa
slippers nyembamba za hoSpitali bila ya koti na huku akiwa amemfunika mwanawe
katika blanketi majira ya saa tatu usiku juzi jumanne.
Kulingana na picha za
CCTV zimeonyesha jinsi mama huyo wa kichanga cha siku nne alivyoweza kutoka
hopistali na kupita wodi floors kadhaa
na kichanga hicho licha ya kuonekana na manesi wanne na kutomea bila ya
kuonekana.
Jana usiku mtembea
kwa miguu alivikuta vitu vyake juu ya Avon Gorge na helikopta ya ploisi kuukuta
mwili wake chini ya daraja la Clifton Suspension lakini hawakumkuta mwanawe.

![]() |
Watafutaji wakiendelea na utafutaji |


![]() |
Clifton Suspension Bridge |

![]() |
Charlotte Bevan, 30, kushoto, akiondoka Bristol
Maternity Hospital bila ya koti na akiwa amevaa ndala nyepesi za hospital
akiwa na mwanae mchanga Zaani Tiana ndani ya blanketi juzi
jumanne saa tatu usiku.
|



![]() |
Mchumba wa Miss Bevan, Pascal Malbrouck, 37 |
Post a Comment