Mabingwa wa Ligi kuu ya Uingereza, timu ya Manchester United imezidi kufanya vibaya katika tour yake barani Asia katika mechi ya kujipima nguvu kabla ya msimu dhidi ya yokohama strarting xi kwa kuchapwa wa 3-2
mabao ya yokohama yalifungwa na Marquinhos katika dk 1 fabio dk 50 na fujita 88 huku mabao ya manchester united yakifungwa na lingard dk 19 na tashiro{own goal}31  kwa matokeo hayo yamezidi kumpa wakati mgumu kocha mpya wa manchester United David Moyes.
mchezo wa jana uliochezwa majira ya saa sita mchana kwa massa ya Afrika mashariki ni mchezo wa tatu kwa timu hiyo iliyo katika michezo yake ya kujipima nguvu kwa ajili ya kujiandaa na amandalizi ya kuanzaligi kuu ya Uingereza mnamo mwezi ujao tarehe 17 ambapo imefanikiwa kusinda mchezo mmoja tokea ilipoanza safari yake ikiwa na wasambiuliaji kama Wilfried Zaha aliyesajiliwa mnamo mwezi january kutokea timu iliyopanda daraja la liku kuu Crystal Palace, na washambuliaji wake mahiri kama Robin Van Persie na wengineo  lakini bado matokeo hayakuwa mazuri.
 Yokohama forward Marquinhos scores
 
 Hi-res-174095904_crop_650
 Hi-res-173399442_crop_650
 Fitness: Despite the humidity, United were working their socks off, even if it didn't always come off
 Packed house: Fans are delighted to get the chance to see their heroes up close and personal
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.