Kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) kupitia idara yake ya mifumo ya habari Software Development wamefanikiwa kupeperusha vyema  bendera ya Tanzania nje ya nchi Tanzania nchini Zimbabwe kupitia national-rollout ya CTC Database kwa nchi nzima.

Akitoa Shukrani hizo Mkuu wa Idara hiyo, Ndugu  Frank Tilugulilwa amesema kwa kupitia NACP waliotutangaza nje ya nchi pia kwa Bi Elaine Baker (Senior Systems Analyst); Bw. Alinani William (Senior Systems Analyst/Engineer); Bw. Japhet Kamala (PEPFAR Support Staff), Partners wetu Aids Relief na Menejimenti ya UCC kwa kufanikisha hili zoezi.

Picha hapo chini ni za wataalamu wa IT (Programmers, Analysts, Stasticians na Support Staff) wa Wizara ya Afya Zimbabwe wakiwa wanapewa shule ya jinsi ya kusupport na ku-maintain CTC Database.



 



 



 




 















































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.