Bosi mpya wa Chelsea atarudi Old Trafford Agosti 24 kukipigia na mahasimu wake wakuu timu ya Manchester United ila kwa mara hii bila ya kuwepo swahiba wake mkuu waliyekuwa wanabadislihana mvinyo Sir Alex Fersguson aliyestaafu kuifundisha timu hiyo ya jijini Manchester.

Katika Ratiba hiyo iliyotoka muda mfupi inaonyesha Cheslea mara baada ya kufungua dimba na timu iliypanda daraja Hull City wiki inayofuata itafuta timu ya Manchester United inayonolewa kwa sasa na David Moyes.
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.