NEEC yalenga kuwakuza akinamama wanaofanya biashara katika seta ya utalii Mkoani Arusha
Na Mwandishi
wetu, Arusha
Baraza la
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kupitia Program ya Imarisha Uchumi na Mama
(SAMIA) linalenga kuyaongeze uwezo wa biashara na ujasirimali makundi ya
Kinamama, V...