Orodha ya TBS ya bidhaa 48 zisizotakiwa kuonekana sokoni.
Imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la MWANANCHI-- Shirika la Viwango (TBS)
limetangaza orodha ya bidhaa 48 ambazo hazitakiwi kuwepo sokoni
kutokana na muda wa kuitumia nembo ya kampuni hiyo katika bi...