Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam pamoja na kuwa heri kwa wakazi wa jiji hili kwa kupunguza hali ya joto iliyokuwepo ila kwa upande mwingine imezua tafruku kubwa kulingana na miundo mbinu ya jiji hili na kuzua mtafaruku na hali tete kwa wakazi wa jiji  wa waendao kwa miguu na pia kwa watumiaji wa vyombo vya barabarani pia kama vile magari, pikipiki na bajaj kama ihali hiyo ilivyoshuhudiwa na mwandishi wetu katika maendeo ya Barabara ya Bibi Titi karibia na akiba pamoja na azikiwe na maktaba street.

Hali hii iliweza kuonekana majira ya leo asubuhi ambapo wakazi hawa walikuwa wanajitahidi kutumia kila aina ya maarifa ya ziada ili kuweza kuwahi katika ofisi zao.






























































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.