Kanisa katoliki duniani jana lilimpata Kiiongozi wa Kanisa hilo Duniani mar baada ya aliyekuwa Kardinali, Jorge Mario Beroglio sasa Francis wa Kwanza kuchaguliwa kuwa Papa kutoka Nchi isiyokuwa ya Bara la Ulaya, Papa Francis wa 1 anatokea nchi ya Argentina na hivyo kumfanya kuchukua nafasi iliyoachwa wazi mara baada ya Papa aliyekuwepo kuomba kujiuzulu nafasi hiyo Papa Benidict XVI aliyekuwa na umri wa miaka 85.
Papa Mpya Francis wa 1 akisalimia waumini wa dhehebu la katoliki mara baada ya kutangazwa kwake.
Gwiji wa Soka Diego Armando Maradona akiwa na bango la kumkaribisha Papa mpya
Umati mkubwa wa
Waumini wa nyumbani anakotoka Papa Francis wa 1 wakishangilia ujio wa Papa mpya.
Moshi mweupe ukitoka mara badaya kupigwa kura ikiwa kama kiashirio cha kupatika kwa Papa Mpya, zoezi hili lilifanyika jana katika mji wa Vatican, Stoka kwenye kanisa la Sistine Chapel.
Post a Comment