Maonyesho ya kusoma vyuo vya nchi za nje za mataifa ya Ulaya na Asia yalimazika rasmi jana katika ukumbi wa mikutano wa Kivukoni Ballroom katiak hotel ya kitalii ya Serena ya jijin Dar es Salaam. Maonyesho hayo yaliowezeka kukusanya matafia mbalimbali ya mataifa ya umoja wa nchi za Ulaya na Asia yalianza rasmi siku ya Jumatano tarehe 13 na kumalizika rasmi jana yakiwa yanaendeshwa katika mitindo ya maonyesho yakiambatana na mikutano na shuhuda mbalimbali za jinsi wanafunzi mbalimbali walivyoweza kutimiza ndoto za kimasomo ikiwa ni pamoja na kuweza kupata skolashipu za kusoma katika nchi hizo.

Na moja ya challenge zilizoelekezwa kwa watoa mada hizo ni pamoja na umoja wa ulaya kubuni na kufikiria namna gani ya kuzisaidia nchi zinazendelea namna gani watakavyoweza kusisaidia kuweza kutoa elimu bora na kufanya wanafunzi waondokane na fikra za kutaka kwenda nje ili kujipatia elimu bora ili kuepukana na gharama kubwa za masomo na ugumu wa kupata udhamini wa kusaidiwa kusoma (Schorship) kwa ajili ya kwenda kusoma huko.


Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio yaliyowajumuisha washiriki na watoa mada mbalimbali wa vyuo hivyo na  wakilishi wa Erasmus Mundus




















































 
















































































































































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.