
Kuna habari ambazo
hazijadhitibishwa na
Manchester United club wala Sir Alex Ferguson mwenyewe ya kwamba
Klabu ya Mancherster United inajiandaa kutoa paundi za
Kiingereza milioni 9 kwa ajili ya
kumtwaa Mlinzi Kinda wa St Etienne, Kurt Zouma umri miaka 17, kinda huyu anasadikika
kama mmoja wa walinzi hodari
wanaochipukia kwa sasa barani Ulaya.
Post a Comment