
Timu ya Liverpool hatimaye imeipiku timu ya Aresnal juu ya kumsajili Kiungo mahiri wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Uturuki Nuri Sahin 23.Aresnal iliyokuwa pia kwenye mbio za kumsajili imeshindwa kutimiza lengo lake baada ya Liverpool kuizidi Arsena katika mshahara na pia ushawishi na ushauri wa mchezaji wa zamani wa Liverpool Xavi Alonso aliyemshauri mchezaji huyo kuichagua Liverpool dhidi ya Arsenal kwa kumwambia ya kwamba eti Anfield ni uwanja bora duniani .
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.