Kipigo cha mabao 2-1 toka kwa Mabingwa wa Ugiriki, Olympiakos kimesababisha timu ya Arsenal kushika nafasi ya pili na hivyo kuleta hofu kubwa ndanui ya timu hiyo ya huenda wakapangiwa timu ya Barcelona katika upangaji wa michezo ya raundi ya pili ya michuano hiyo. 

Kocha wa Arsenal alisikika akisema kutokana na kipigo hicho anasubiria zawadi nzuri ya Christmas kwa kutokupangwa na Barcelona katika upangaji wa michezo ya raundi ya pili utakaofanyika taehe 20 mwezi huu...alisikika akitamka kocha huyo katika nukuu hii, " boss Wenger said: “We need a good Christmas present now, " na hakuishia hapo tuu bali aliwalamika pia waamuzi katika kulalalmika goli la kuzawazisha la Olympiakos liliofungwa na Giannis Maniatis.



Furious Arsene Wenger argues with an official after Maniatis' controversial leveller
Kocha mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger akilalamikia goli la kuzawisha la Olympiakos.

































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.