Lol wenzetu ndio maana wanapata mafanikio, timu ya Manchester United mara baada ya ushindi wake wa mabao  3-1 dhidi ya Sunderland wachezaji wake walijumuika kwenye sherehe ya kujiandaaa na Christmas maarufu kama Christmass Bash katika klabu ya usiku inayomilikiwa na mchezaji mwenzao Rio Ferdinand almaarufu kwa jina la Rosso iliyoko jijini Manchester.

Rio Ferdinand
Mchezaji wa Manchester Uinted , Rio Ferdinand akiwasili kujiunga na wenzake katika klabu anayomiliki ya "Rosso Restaurant" jijini Manchester.


Ryan Gigg

Kama mjini Manchester. Tofauti na christmas bash nyingine zilizopita mwaka huu hakukuwa na wageni waalikwa has wakinadada na hii inatokana na kufanya vibaya kwa timu hiyo katika michezi yake ya msimu uliopita katika mwezi huu wa sikukuu za christmass uliopelekea na timu kupoteza taji walilokuwa wanashikilia kwa kipindi hicho kwa mahasimu wao wakubwa timu ya Machester City.

Robin Van Persie
Mchezaji aliyesajiliwa msimu huu akitokea Arsenal, Robin Van Persie akiwasili kwenye utamaduni mpya wa Chrsitmas Bash.




Nemanja Vidic
Nahodha wa Manchester United, Nemanja Vidic akiwasili anye kwenye ukumbi wa Rosso

















































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.