Kocha mkuu wa Mashetani wekundu wa Uingereza al maaruf kama the "Red Devils" ametabanaisha ya kuwa Kocha wa Mabingwa watetezi wa La Liga, Jose Mourinho anaweza kuiongoza timu yoyote duniani kwa sasa ikiwemo Manchester United, kocha huyo mwenye mafanikio makubwa katika ngazi za klabu na kwa Uingereza aliendelea kutabanaisha ya kuwa Morinho ambaye kwa anasemekana yuko mbioni kuchukua nafasi ya Roberto Mancini ndani ya Manchester City katika kipindi cha majira ya joto mwakani ameelezea ya kuwa kocha huyo anaweza akawa pia mrithi wake mara baada ya muda wake wa miaka 26 ndani ya Old Trafford kufikia tamati.

Ferguson aliendelea kusema si kwamba anatabiri nini kitakachotokea ndani ya Manchester United ila kwa kuwa mimi sitaweza kuendelea kuiongoza timu hii milele kwa hiyo uwezakano wa Mourinho kuiongoza Manchester United unawezakana kwa kuwa anaweza kuiongoza timu yeyote duniani kwa sasa.

SO SPECIAL ... Ferguson insists Mourinho (left) could manage any club in the world
Jose Mourinho akiwa pamoja na Sir Alex Ferguson


































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.