Timu ya matajiri ya Manchester City jana usiku ilihitimisha vibaya safari yake ya klabu bingwa ya ulaya msimu huu kwa kushindwa hata  kuambulia ushindi wowote katika ngazi ya makundi mara baada ya kudunguliwa bao 1-0 na mabingwa watetezi wa Ujerurmani Borussia Dortmund na hivyo kujinyakulia pointi tatu katika michezo sita iliyocheza.

Kwa kufungwa katika mchezo wa jana timu ya Manchester City imekuwa timu ya pili kutoka Uingereza iliyotoka na  pointi chache zaidi katika mashindano haya, maya ya kwanza ilikuwa ni timu ya Blackburn Rovers miaka kumi na saba 17 iliyopita (1995-1996) walipofanya hivyo kwa kutoka na point nnne moja zaidi ya matajiri hawa wa Etihad.
  
Na Mshambuliaji wao mahiri Carlos Tevez amekuwa mshambuliaji hatarai aliyeshindwa hata  kufunga goli moja katika mashindano hayo katika msimu huu.



Julian Schieber wa Borussia Dortumn akiiandikia timu yake bao pekee katika mchezo wa jana.





Roberto Mancini exits after horror campaign
Kocha Roberto Mancini ameshindwa hata kuivusha timu yake kucheza kombe la Europa



































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.