RAFA Benitez kocha wa muda wa Chelsea jana amekiri ya kwamba siku zake zimeshaanza kuhesabika ndani ya timu hiyo kutokana na matokeo mabaya aliyoyapata ya kipigo cha mabao 3-1 toka kwa timu ya West Ham.

Matokeo hayo yamemfanya kocha huyo kuwa na wasiwasi kutokana na matokeo mabya tokea atue hapo darajani kuchukua nafasi ilikuwa wazi baada ya kocha aliyefukuzwa Roberto Di Matokea kulingana na na mechi tatu ilizocheza timu yake mpaka sasa tokea akabidhie nafasi hiyo ikiwa ametoka droo mechi mbili na kipigo cha na kufanikiwa kupata goli moja ndani ya safu yenye wachezaji wakali kama Osca, Eden Hazard, Juan Mata na Fernando Torres.



kocha wa muda wa Chelsea aliye katika wakati mgumu kwa sasa toka kwa mashabiki wa timu hiyo na mmiliki wake Roman Abramovich, Rafa Benitez.


Making their point: Chelsea fans unveil a banner
Mashabiki wasiomtaka Benitez ndani ya Stamford Brige wakiwa na mabango ya kumkataa kocha huyo.



Rafael Benitez refuses to apologise to Chelsea fans for comments about club while Liverpool manager
 Kocha aliyekosa mvuto kwa mashabiki wa timu ya Chelsea







Not wanted: Benitez took over from Roberto Di Matteo last week
Rafa akionekana mtu mwenye hofu kubwa.





Already? Chelsea fans made their feelings about Rafa Benitez clear




Come back! Chelsea fans showed their support for sacked manager Roberto Di Matteo
Kwetu sisi kila kitu ni  Di Matteo pekee yake
















Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.