Waziri wa uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe ametangaza kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi wengine 16 katika mamlaka ya Bandari Tanzania -- TPA -- kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka.

Hadi kufikia sasa, jumla ya Wakurugenzi waliosimamishwa kazi TPA inafikia ishirini na watatu.

Bofya kifute cha pleya kusikiliza taarifa hiyo na nyingine zilizosomwa saa mbili usiku wa leo, TBC Taifa.
00:00
00:00
Picture
Mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) kitengo cha utekelezaji, aAbushir Mambo akitoa malalamiko yake kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alipokutana na uongozi na wafanyakazi wa TPA ili kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutambulisha bodi mpya jijini Dar es Salaam. (Picha: Rafael Lubava/MWANANCHI)
Picture
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) akipokuwa alipokwetanda kwa ajili ya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuitambulisha Bodi mpya jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Madeni Kipande. (Picha: Rafael Lubava/MWANANCHI)
Picture
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) wakifuatilia mkutano wakati Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alipokutana na uongozi na wafanyakazi wa TPA ili kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutambulisha bodi mpya jijini Dar es Salaam jana. (Picha: Rafael Lubava/MWANANCHI)
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.