Pamoja na ukali wote aliokuwa anaonyesha dimbani  mchezaji kinda wa Liverpool Raheem Sterling anapokea mpaka Dolaa za kimareke 2000 kwa mwezi katika mkataaba wake aunaoshia sasa na ndio yuko kwenye meza ya mazungumzo kwa kulipwa Paundi 30,000 kwa mwezi katika mkataba mpya ambayo ataokubali kuusaini kwa sasa.

Raheem aliyekuwa na umri wa miaka kumi na saba 17  na ambaye leo anatimiza miaka 18 yujko kwenye mazungumzo ambayo kocha mkuu wa Liverpool Brendan Rodgers ameingilia katik katika kuhahakisha kija huyo anasaini mkabata mpaya mara baada ya kukwamaa kwa mazungumzo kwa vipindi fulani na akiwa tayari mwenye wasiwasi ya huenda akatua kwenye mikono ya timu zinazomwaga mihela ili kumrubuni kusajili kwao.

Brendan Rodgers and Raheem Sterling
Brendan Rodgers akiwa na Raheem Sterling
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.