Timu anayochezea aliyekuwa nyota ya Manchester United na baadae Real Madrid na Ac Milan ya Italy na aliepata kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Uingereza David Beckham, Los Angels Galaxy almaarufu kama LA Galxy imefankiwa tena kunyanyua kombe la ligi ya Marekani maarufu kama MLS Cup  kwa mwaka wa pili mfufulizo na hata hivyo huu ndio utakuwa mwaka wa mwisho kwa nyota huyu kucihezea timu hiyo tokea alipojiunga nayo miaka sita iliypita.

Kwa kunyanyuua ubingwa huo timu ya LA Galaxy ilifanikiwa kuifunga  timu ya Houston Dynamo   mabao 3-1 katika fainali iliyochezwa jana usiku katika uwanja wa nyumbani wa LA Galaxy ujulikanao kama Home Depot Center  kwa mabao mawili yaliyopatikana kwa njia ya mikwaju ya penati toka kwa  nahodha wao Landon Donovan na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ireland na Totenham Hospurs ya Uingereza Robbie Keane.


David Beckham
David Behakam akinyanyua juu kombe la MLS Cup juu mbele ya umati wa mashabiki wao, picha zote kwa  hisani ya mtandao wa www.thesun.co.uk


David Beckham
Beckham akionyesha furaha kutokana na kunyakua kombe kwa mara ya pili mfufulizo




David Beckham
Beckham akiwapungia mashabiki wake katika kusherehekea ushindi wao









David Beckham
Beckhama akiwa katika moja ya hekaheka za uwanjani katika mchezo wao na Houston Dynamo




David Beckham
Beckham akizeeka na uhodari wake wa kupiga mipira iliyokufa maarufu kama Free Kicks


























































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.