April 6, 202510:30:42 PM

Ajali mbaya ya Basi hapa Phantom mjini kahama 

baada ya basi kupinduka ilipokuwa inakata kona 
  
kulekea Shinyanga road kutoka Kahama mjini, hapo 

Crane ya mgodini ikiinuwa ili maiti ziweze kutolewa!!. 

Taarifa zinasema basi la abiria la kampuni ya WIBONELA kutoka kahama kwenda dar limepata ajali eneo la Fantom .

Watu kadhaa wamekufa na wengine kujeruhiwa lakini taarifa kamili itatolewa na jeshi la polisi .

Katika harakati za uokoaji kuna kijana alijaribu kuibia maiti na majeruhi kwa bahati mmoja wa majeruhi alimuona , alimwitia mwizi wananchi wakamchoma moto hapo hapo .

Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.