Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWizara ya Mifugo na Uvuvi, Ubalozi wa Uholanzi Tanzania na wadau wa ufugaji wa kuku kwa pamoja wamezindua mradi wa kutathmini mtaala wa mafunzo ya ufugaji wa kuku...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
ameondoka nchini jioni ya leo, Alhamisi Novemba 6, 2014, kwenda Marekani
kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Rais Kikwete atakuwa Marekeni kwa muda wa siku kumi.
Mwisho.
Imetolewa na; Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu – Dar es Salaam. 06 Novemba, 2014
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.