
Na si kuwepo tuu bali pia wanaweza kufuzu kwa
raundi inayoyofautia. Endapo watafanikiwa kushinda mjinini Roma
na Bayern Munich wakishinda watafanikiwa kuendelea, na endapo CSKA Moscow watashinda dhidi ya Bayern mjini munich na city pia wakishinda CSKA Moscow watafuzu na city kutolewa kulingana na sheria ya head to head.
Nafasi
ya mwisho ya kufanya hivyo kuanzia
kuanza kwa michuano hii bado iko wazi,
watafanyaje Mungu tuu ndio anayejua kwa kweli maanake mara nyingine unaombea
miujiza itokee kuweza kufanya jambo.
![]() |
Mkombozi wa aliyerudisha uhai wa Man City Ulaya , mfungaji wa mabao matatu jana usiku |




Post a Comment