 |
Kutoka kushoto: Katibu Mkuu CHADEMA, Dkt.
Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, na Mwenyekiti
wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, wakisaini makubaliano hayo ya UKAWA. |
 |
Sehemu yamakubaliano ya UKAWA yaliyotiwa saini |
 |
Viongozi wa UKAWA
wakionesha hati ya makubaliano aada ya kutia saini Jumanne, Novemba 4,
2014 kwenye ofisi za Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam. |
Makubaliano ya UKAWA yamevihusisha vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi
na NLD, yataanza kutekelezwa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa
unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ambapo UKAWA utasimamisha
mgombea anayekubalika katika eneo husika bila ya kujali chama.
Post a Comment