April 7, 202508:04:16 AM

Gari la aina ya Porsche la mwanasoka nguli wa Agentina anayekipiga na timu ya Manchester City , Carlos Tevez 28 limesombwa na karandinga mara baada ya kubainika mwanasoka huyo alichanganya document ambazo zinamuwezesha kuendesha gari hilo. Tevez alijikuta akiwa amebeba leseni ya kimataifa (International Driving Licence) badala ya United  Kingdom hivyo kusababisha polisi kulibeba gari hilo,

Carlos Tevez
Porsche la Carlos Tevez                        

Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.