April 7, 202501:03:37 AM

Kocha mkuu wa timu ya Manchester City, Roberto Mancini amemwambia mshambuaji wake machachari Mario Balotelli abadilike la sivyo asahau kuichezea timu hiyo. Mancini alifikia hatua hiyo mara baada ya kuchoshwa na vituko na vimbwanga vya mchezaji huyo Raia wa Italia kutokana na kufanya vyake vibaya katika michezo ya ligi na pia kutokujitahidi pia mazoezini.

Itakumbwa katika mchezo wa mwisho Mancini hakumpanga kabisa katika mchezo wao dhidi ya  Toteham Spurs na  hakutaka hata kumwona kwenye kambi ya timu  katika hoteli walimokuwa wamefikia katika kujiandaa na mchezo huo na hiyo ni baada ya kuondlolewa kwenye timu itakayocheza mchezo huo, Mario  alijiondokea na kwenda kujirusha hadi alfajiri ya siku ya  Jumapili.

Mario Balotelli
Mario Balotelli
Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.