Marefa wakasirika na watishia kugomea kuchezesha michezo ya Chelsea.

Marefa waliokasirishwa na kitendo cha timu ya Chelsea kumtuhumu na kumfungulia mashitaka ya kutumia maneno yanayosadikika ni vitendo vilivyopigwa marufuku michezo(Ubaguzi wa Rangi) wametishia kugomea kuchezesha michezo inayohusu timu hiyo.

Hayo yaliwekwa hadharani na Refarii wa zamani wa michezo ya ligi kuu ya Uingereza Clive Wilkes kwa kusema marefa wamechukikizwa na kitendo cha kumtuhumu refa aliyechezesha pambano lao baina na Manchester United, Mark Clattenburg ya kuwa ametumia maneno yasikowa sahihi juu ya mchezaji wao John Obi Mikel madai ambaye mayapinga.

Mark Clattenburg
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.