Ligi Kuu ya Uingereza mwishoni mwa wikiendi hii ilitawaliwa na matokeo ya sare kulingana na michezo tisa iliyokuwa imechezwa hadi kufikia jana jumapili kuhitimishwa kwa sare tano na michezo minne tuu kati ya tisa kutoa matokeo ya ushindi mwembamba wa mabao 2-1 au 1-0.

Katika michezo miwili iliyochezwa jana ambayo mmoja wapo iliyozikutanisha mabingwa wa Zamani wa miaka ya themanini Liverpool baina ya Newacatsle United ana Queen Park Rangers maarufu kama QPR na Reading. katika mchezo wakwanza uliozikutanisha QPR na Reading uliishia kwa droo ya 1-1 kwa goli la dakika za mwishoni mwa mchezo la Djibril Cisse ambalo litakuwa muhimu sana kwa kocha anayekalia kuti kavu kwa Mark Hughes ambaye timu yake inakalia mkia

QPR 1 Reading 1

SPARK OF LIFE ... Djibril Cisse celebrates the equaliser which spared manager Sparky's blushes

Mkombozi wa OPR, Djbril Cisse akishangilia goli la dakika ya



































































































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.