Taarifa zilizopo ni kuwa Bomu limelipuliwa (hand thrown Grenade) baada ya mhadhara wa ndani ya msikiti huko Unguja na Ndg yetu kijana Muhammad mkombolaguha amefariki dunia, sheikh Abulfadh'li Qassim mlengwa wa shambulio amejeruhiwa mkono na mguu na yu wapata matibabu hospitalini na hali yake sio mbaya sana. 

Aliyefariki ni mwanafunzi wa sheikh katika Markaz iliyopo Tanga, Abulfadh'li .

































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.