Wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido wa Nigeria umechaguliwa kwenye category ya international collaboration.

![]() |
Mashabiki wa Diamond kwenye showa ya Diamond Platnumz iliyofanyika Los Angeles, California nchini Marekan |
![]() |
Diamond Platnumz aka Rais wa Wasafi akifanya vitu vyake California. |
![]() |
Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California. |
Picha na: Abdul Majid, mwakilishi wa Vijimambo Los Angeles California. Kuona picha zaidi bofya hapa.
Source by www.wavuti.com
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.