Wiki hii idadi ya watoto takriban laki nne wali hudhuria tukio maalum la kusomwa kwa vitabu nchini kote.
Mwaka huu mfumo wa National Simultaneous Storytime (ambako watoto wana
somewa hadithi moja kwa moja, una sifia idadi kubwa ya walio shiriki.
Na kama taarifa hii inavyo arifu, mfumo huo uliongezwa nguvu na washiriki wa utamaduni tofauti.
Mradi wakusoma kuongeza shauku ya hadithi nchini Australia
10Jun2014
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.