Daladala zilizokuwa zikifanya shuhuli zake na kuishia katika kituo maarufu cha mwenge jijini Dar Es Salaam zilimeonekana ziikimalizia safari zake katika kituo kipya cha Makumbusho pia jijini Dar es Salaam hii ikiwa ni .

Kuanza kutumika kwa kituo hicho kumekuja mara ya kutoka kwa  tamko lilitolewa na  mwishoni mwa wiki  na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) ya kuwa safari zote za zilizokuwa zinafanywa na mabasi hayo na kuishia stendi ya Mwenge kuhamishiwa katika kituo cha makumbusho kuanzia tarehe 02 June 2014 yaani siku ya jana.

Abiria wengi wakiwa katika hali ya sintonifahamu mara ya kuona mabasi hayo yakipita kituoni mwenge pasipo kusimama

 


 


Kituo cha kwenda Tegeta, Kawe na Mbezi kikiwa kitupu muda huu.


Kituo cha mabasi mwenye cheupe hakuna hata daladala. bali usafiri ulio maarufu kama Bajaj

 


 


 


 

 

 

Machinga wakiwa wanajikusanya kwa ajili ya kujadili jinsi ya kuanza mgomo.


 

 

































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.