Timu ya Taifa ya Brazil maazufu kama selacao jana usiku ilikumbana na kipigo cha karne mara baada ya kukubali kufungwa jumla ya magoli saba kwa moja na timu ya Taifa ya Ujerumani katka fainali za kombe la Dunia zinazoendelea jijini Brazil.
Kipigo cha jana ni historia mpya iliyowekwa mjini Mineirazo katika mashindano hayo tokea mwaka 1950 mjini Maracanazo.Ambapo mwaka huo angalau Brazil waliweza kuapata nafasi ya kucheza Rio. Baada ya dakika 26 ilikuwa ni mara kwanza kukubali magoli manne tangia ilipofanya hivyo mnamo mwaka 1954 dhidi ya timuya Hungary kwa magoli 4-2 and baada ya dakika 29 ni mara ya kwanza kufungwa magoli matano tokea ilipofanya hivyo mnamo mwaka 1934 dhidi ya Poland kwa mabao 6-5 na ilifpofikia dakika ya 69 ndio mara ya kwanza Brazil kukubali kufungwa magoli sita katika michuano ya kombe la dunia.
Mshabiki huyu alishindwa kujizua kutokwa na machozi mara baada ya kuona timu yake ikifungwa |
Uwanja ukiwa umebaki tupu na mmoja tu ya mshabikia liyeweza kuendelea kuangalia kilichokuwa kikiendelea |
Post a Comment