BREAKING
NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa
linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu
wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana
Watu wapatao 50 wanahofiwa kufa papo hapo baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na kontena maeneo baada ya makambako.
BREAKING NEWS: Ajali mbaya yatokea Makambako
11Mar2015
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.