Sargent
Damian Muheya kutoka kitengo cha habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu
ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akitoa maelezo ya kutumia vifaa vya
kuzimia moto vya huduma yakwanza kwa watumiaji wa Kivuko cha Magogoni
jijini Dar es salaam tarehe 05/03/2015,ili kuwajengea uwezo wa
kukabiliana na majanga ya moto katika hatua ya awali.
Sargent
Damian Muheya kutoka kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu
ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akimuongoza mmoja wa watumiaji wa kivuko
cha MV Magogoni kuzimamoto kwa kutumia mtungi wa kuzimia moto wa huduma
ya kwanza tarehe 4/03/2015,ili kuwajengea uwezo wa kukabiliana na
majanga ya moto katika hatua za awali.
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Konstebo Godfrey Peter kutoka kitengo
cha Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akionesha
matumizi ya ya Mtungi wa kuzimia moto aina ya Unga Mkavu ( dry powder)
kwa watumiaji wa kivuko cha magogoni jijini Dar es salaam,mafunzo hayo
yalitolewa tarehe 04 na 05 /03/2015. Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea
wananchi uwezo wa kukabiliana na majanga ya moto katika hatua za awali.
Post a Comment