Kaimu
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Usambazaji na Huduma kwa wateja kutoka
Tanesco, Mhandisi Sophia Mgonja(mwenye nguo ya rangi nyekundu)
akifuatilia warsha kuhusu usambazaji wa umeme iliyofanyika katika ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere jijini Dar Es Salaam.
Tanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme
07Mar2015
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.