Kocha mkuu wa Manchester United ameeleze masikitiko yake mara baada ya Manchester United kupoteza mchezo war obo fainali ya kombe la FA kwa kusema timu yake imepoteza kutokana na mchezo wao wa uwezo binafsi.

Danny Welbeck of Arsenal celebrates his winner
Mchezaji Danny Wellbeck akishangilia goli


Macnhester United walipoteza kwa magoli 2-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford wakati mchezaji wake wa zamani Danny Wellbeck kufunga goli la ushindi mara baada ya Wayne Rooney kuzawazisha goli la awali la Nacho Monreal.



Mchezaji Angel Di Maria alitolewa nje mara baada ya kupewa kadi mbili za njano na kuifanya kazi ya united kuwa ngumu zaidi.


 Akizungumzia mchezo huo, Louis Van Gaal amesema hatukpoteza mchezo dhidi yao bali tumepoteza kutokana na namna tulivyocheza nah ii insikitisha sana alisema kwenye mkutano wa na wanahabari mara baada ya mchezo. Wachezaji wamenyongea sana na wamelitambua hilo kuwa lingekuwa jambo tofauti zaidi.
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.