Katibu
Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof.Sifuni Mchome
akiwasilisha mada kuhusu Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 kwa
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika
warsha fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2015.
Sehemu
ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
wakimsikiliza Prof. Mchome ambaye hayupo pichani wakati akiwasilisha
mada kuhusu Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014.
Post a Comment