Zitto: Mfumo wa Mikopo ya Elimu ya Juu inamnyima haki ya Elimu mtoto wa Mkulima
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh.Zitto Kabwe amesema mfumo wa mikopo ya
Elimu ya juu nchini unawatengeneza watoto wa Wakulima kuwa wajinga
kwasabu unawanyima fursa ya kupata fedha za kusoma. Zitto aliyasema hayo
katika Kata ya Tutua Wilayani Sikonge Mkoani Tabora.
12Oct2013
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.