Mama Tunu Pinda akipata maelezo kwa mmoja wa wajasirimali wanawake walioshiriki maonyeshio hayo


  Mama Tunu Pinda akikaribishwa rasmi kufunga maonyesho ya wiki ya wakinamama wajasirimali, kushoto kwake Mwenyekiti wa MOWE, Bi Elihaika Mrema na Mratibu wa Kitaifa wa Programu ya kuendeleza wajasirimali wanawake Tanzania kutoka ILO, Noreen Toroka


  Mwenyekiti wa Kamati ya MOWE, Mama Elihaika Mrema akizungumza wakati wa kufunga maonyesho hayo ya wajasirimali wakinamaam jijini Dar es Salaam



  Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifunga rasmi Maonyesho ya Wanawake Wajasirimali (MOWE) katika viwanja vya mnazi mmoja jijin Dar es Salaam, maonyesho hayo ya wanawake wajasirimali yalikuwa ya wiki nzima ambapo wakinamama wanapata nafasi ya kuonyesha na kuuza bidhaa mbalimbali usindikaji, mvinyo, batiki kwa wakazi wa jijini



Mgeni rasmi Mama Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wenyeji Wake na viongozi wa MOWE.

Mgeni rasmi Mama Pinda akikabidhi vyeti kwa mmoja wa washiriki wa maonyesho (Certificate of Participation)



















































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.