Mwalimu msagaji (Lesbian) Rachel Kasi, 41 anashitakiwa kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja wa aliyekuwa mwanafunzi ambaye walianza uhusiano tangu akiwa na umri wa miaka 14.



Rachel Kasi ni mwalimu wa sayansi katika shule ya Fair View High School Kusini mwa Wales.

Inasemekana alikuwa akimpa mtoto huyo zawadi mbalimbali za gharama kumlaghai

Uhusiano iliendelea mpaka mwanafunzi alipoachana naye alipojiunga chuo kikuu.


Kasi alikuwa na hatia ya makosa mawili ya ngono, ikiwa ni pamoja na shambulio la aibu yeye anakabiliwa na adhabu ya kwenda jela katika Mahakama ya Cardiff Crown mwezi ujao

Ni aibu kwa Mwalimu Rachel Kasi kukabiliwa na mashitaka ya kufanya ngono na mwanafunzi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Cardiff Crown na anaweza kupatikana na hatia ya kwenda jela.


Mwalimu huyo anakabiliwa na adhabu ya kwenda jela kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake kwa miaka mitano.


Taarifa zinasema kwamba Rachel alianza taratibu kuwa na mahusiano na msichana huyo mdogo mwanafunzi katika sehemu ya makabati ya  kubadilisha nguo za wanafunzi kwa kumbusu wakati huo akiwa na umri wa miaka 14 mwanafunzi huyo.


Mwendesha Mashitaka aliiambia mahakama kuwa  mwalimu huyo alianza taratibu kuwa na tabia ya kufuata msichana huyo kila mara sehemu ya kubadilishia nguo na kumbusu mara kadhaa.

Habari zinasema mwalimu huyo alianza kumkaribisha sehemu ya vyumba vya walimu na kulala naye kitanda kimoja, kuoga pamoja na kufanya vitendo vya ngono kila baada ya siku mbili ndani ya wiki.


Mwisho.
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.