Hadi kufikia raundi ya kumi na moja ya michezo ya Ligu kuu ya Uingereza al maarufu kama Barclay’s Premier League tumeshuhuddia ya kuwa hakuna timu ambayo unayoweza kusema ina uhakika wa kutoka na point tatu.
Mchezaji mahiri wa mabingwa watetezi Manchester united na mfungaji bora wa Msimu uliyopita, Robin Van Persie |
Hii ni mara baada ya timu ya Machester United
kuifunga timu inayoonekana imedhamiria kulitwaa taji hilo kwa msimu huu kwa
goli moja na huku timu ambayo imetumia hela nyingi katika usajili , matajiri wa
Etihad Machester City kupokea kipigo toka kwa timu ya Sunderland.
Mchezaji mpya na wa ghali wa timu ya Arsenal, Mezut Ozil |
Kwa hiyo mtu yeyoye anaweza kupata majibu ya kwamba
hakunambabe halisi wa ligi hii kwani timu yoyote inaweza kuifunga timu yoyote
pasipo kujali inacheza na timu ndogo au kubwa nah ii inatoa taswiara ya kwamba
kiwango cha timu za ligu kuu vimepanda na hivyo kutoa ushindani halisi.
Kocha wa Chelsea mreno Jose Mourinho aliyerudi klabuni hapo kwa mara ya pili akitokea mabingwa wa zamani wa La Liga timu ya Real Madrid |
Matokeo ya kushangaza kabisa yalikuwa ya Sunderalnd
kuifunga Manchester City lakini pia matokeo kama hayo pia yalishaonekana ndani
ya Old Trafford pale Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Manchester United
walipopokea kipigo cha bao 1-0 toka kwa Westbromwich Albion, pia Aresnal
kufungwa na Aston Villa 3-2 uwanja wake wa Emirates, na pia Liverpool
walipofungiwa nyumbani kwake na Southanpton na vile vile pale Cheslea
walipofungwa 2-0 na Newcastle United.
Mlinzi mahiri na nahodha wa Manchester City, Vicent Kompany ambaye msimu huu umekuwa mbaya kwake kutokana na kuandamwa na majeruhi ya mara kwa mara. |
Kwa hiyo tulichojifunza ni kwamba si kwamba Manchester
United anaweza kufiunga Arsenal tuu bali timu yoyote inaweza kufungwa na timun
yoyote ile pasipo kujali ule u nne bora.
Kocha mpya wa matajiri wa Machester City, Manuel Pellegrini |
Lakini tukirudi nyuma kuna ukweli sahihi ya kuwa
timu tatu za juu, Manchester United, Manchester City and Chelsea kumeleta
utofauri kwa mfano tukingalia kwa upande wa Manchester United, kustaafu kwa
Sir. Alex Ferguson na jinsi timu hizi gamin timu hizi zilivyoruhusu kupoteza
pointi mpaka sasa.
Mchezaji wa Arsenal aliye kwenye kiwango cha juu msimu huu, Aaron Ramsey |
Kutokea kuanzishwa kwa mfumo mpya wa Ligi mnamo
mwaka 1992, kumekuwepo na msimu mmoja tuu
kuwepo kwa timu bora nane kubanana hadi kufikia hatua hii nah ii ilikuwa
msimu wa 2001/2002 wakati waliokuwa wakiongoza Aston Villa wakiwa mbele point
nne mbele ya Totenham na Arsenal kwenda kuchukua ubingwa kwa kuizidi Liverpool
kwa pointi saba.
Kukiwa kumebakia na michezo 27 tunaweza kusema timu
zote nane zinavyoweza kuleta ushindani
wa kugombea taji hilo katika muongo mmoja ambao haujapata kutokea.
Wafungaji bora mpaka kufkia sasa:-
1. Sergio AgĂĽero………………… Manchester City….…..8
Daniel
Sturridge……………….. Liverpool……….…..…8
Luis Suárez………………………. Liverpool…………...…8
4. Robin Van
Persie…………………Manchester
United… 7
LoĂŻc Remy………………………...Newcastle United….. 7
6. Aaron Ramsey…………………….Arsenal……………… 6
7. Wayne Rooney…………………... Manchester
United…. 5
Yaya TourĂ©………………………. Manchester City……. 5
Olivier
Giroud…………………….Arsenal………………..5
Romelu Lukaku…………………... Everton……………….5
Post a Comment