![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mblaimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). picha: Ikulu. |
Rais Kikwete arejea nchini kutoka kwenye mkutano wa Kimataifa wa Uwazi wa Serikali..
03Nov2013
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.